Monday, January 7, 2013

CLOSER YA VANESSA MDEE ITAKUWA HEWANI JANUARY 11

.
Kwenye headlines za chart za mziki hapa bongo najua tayari jina la Vanessa Mdee limetajwa mara nyingi lakini ni kutokana na collabo alizofanya tu akiwa kashirikishwa na wakali kama Ay na Ommy Dimpoz, time ya kumsikia akiwa kasimama kwenye single yake mwenyewe imefika, ni january 11 2013….. 

Tusubiri kusikia kutoka kwake Vanessa Mdee ambae pia ni mtangazaji wa MTV BASE na 102.5 CHOICE FM Dar es salaam.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!