Wednesday, January 2, 2013

DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU SKENDO YA KUYAANIKA MAKALIO YAKE....


HUU  NDO UTETEZI  WA  DIAMOND  KUHUSU SAKATA LA KUVUA NGUO HADHARANI......

"Watu wengi waliipokea show hii tofauti kabisa  na vile ilivyokuwa imekusudiwa...kipengele cha kuvua Boxer ni kipengele ambacho kilifanyiwa mazoezi kikiwa katika sehemu ya show tuliyokuwa tumeiandaa kuifanya siku hiyo ya Fiesta 2012 na sio kama tulifanya tu bila kukusudia.....

Lakini mashabiki waliipokea show hii tofauti kabisa me naamini ilitokana na ubunifu ambao hawakuwai kuutegemea kwa msanii yeyote yule pia ilikuwa ni surprise kwa mashabiki wangu.....Lakini sio vitu vigeni kabisa ukiangalia hata nje wanafanya show za aina hii tena pengine ni zaidi ya hii."....DIAMOND
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!