Saturday, January 5, 2013

HAYA NDO MAPENZI YA MBWA TOKA KWA WEMA SEPETUApparently mrembo Wema Sepetu yuko busy na ulezi wa mtoto wake!! Mtoto huyo ambaye Wema amekuwa akipost picha zake mara kwa mara kwenye mtandao wa Instagram, anaitwa Vanny.


“My baby vanny all cuddled up after her bath…. Awww ,” ameandika Wema kwenye moja ya picha za mbwa wake huyo!

“Always puts a smile on mummyz face,” anasema Wema.
aa011d7a546111e2b97522000a1f97e9_7
d21a2200531e11e2876222000a9f0a1b_7
2bbc57fc531e11e288f622000a1fbc72_7
14a92d98546211e2984f22000a1fb895_7
27458114546111e2a73f22000a9e28ad_7
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!