Monday, January 21, 2013

HII NI AUDIO MPYA YA AVRIL AMBAYE AMEWATAKA MAHABIKI WAKE WAMSAIDIE KUIPA JINA


Mrembo Avril wa Kenya yupo njia panda. Ana hii ngoma kali anataka kuiachia lakini hajui aipe jina gani. So anataka wewe shabiki wake umsaidie kuupa jina wimbo huu.


“Morning Fam, I’m in a dilemma. Tryin to get a title 4 my next release, can u help? Have a listen, let me know, “ametweet.

“Hope you enjoyed this one. Still not sure what to call this song..have a listen and if you can drop me a suggestion here or on @avrilkenya – Twitter or Avril_Kenya – Facebook. Thank you fam.”

HII NDO  AUDIO  YAKE  MPYA

   


Kwamtazamowangu naona ni bora  "SITAKI MWINGINE"
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!