Wednesday, January 30, 2013

KIWANDA CHA CHEMICOTEX-AFRICANA, DAR CHATEKETEA KWA MOTO JIONI HII


Kiwanda cha ChemiCotex kilichopo huko Africana njia ya Tegeta jijini Dar es Salaam kinawaka moto muda huu, saa kumi na mbili jioni.

Wadau wetu  wakiwa katika eneo la tukio wametutumia  picha hizi.==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!