Tuesday, January 15, 2013

MAPAJA YA SINTAH YAANIKWA HADHARANI....Tumezoea kushuhudia  vituko  vya  Wema  Sepetu, Rayuu, Wolper  na  Wengine......Sasa  hali imebadilika.

Msanii  wa kibongo  kwa  maana  halisini kioo  cha jamii ambaye  mara  nyingi huwa mstari wa  mbele kuikemea jamii na kuionya pia.....Maonyo  hayo huifikia jamii kupitia kazi zao  za sanaa.....


Wasanii na  Waalimu  ni mfano  hai wa kuigwa  kimaadili  hasa  katika kipindi hiki kigumu cha UTANDAWAZI. 

Jamii itawashangaa kama mtafkia hatua  ya kuukumbatia "UZUNGU"  na  kuukana "UAFRIKA"

  HIZI NDO COMMENT  ZA  WADAU  BAADA YA KUYAWEKA  HAYO MAPAJA YAKE  HADHARANI KUPITIA BLOG YAKE.....
 
 
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!