Wednesday, January 9, 2013

MPOKI NA HEMEDY NDANI YA FILAMU YA COMEDY IITWAYO----- 90 MINUTESMuigizaji wa filamu nchini, Hemedy Suleiman aka PHD hivi karibuni ataingia location kushoot filamu mpya iliyopewa jina la 90 Minutes (Dakika 90).Katika filamu hiyo ya comedy, Hemed ataigiza na Mpoki.


“Nimepewa movie inaitwa 90mnts..soccer comedy movie!!…mimi captain team ya mabishoo…mpoki captain team ya wagumu…daaah!!najiona RONALDO,” alitweet PHD.

Akijibu swali  kuhusu wasanii gani wengine wataokuwa kwenye filamu hiyo na lini wataanza kushoot, Hemedy alijibu, “ndio casting inatengenezwa…so far hiyo ndio info najua from the producer..More info will alert you..location February.”
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!