Thursday, January 31, 2013

MWANAMKE AVUA NGUO KATIKATI YA MECHI UWANJANI....WANAUME WAMGOMBANIA


Hili  limekuwa  ni tukio  la  pili kwa  mwanamke  kuvua  nguo  uwanjani.....

Matukio  yote  yamekuwa  yakitendeka Afrika  kusini ambako  timu kadhaa  zimekuwa  zikiendelea  na  michuano......

Inasemekana  makahaba toka  nchi mbalimbali wamekwisha  tia  kambi  nchini  afrika  kusini tayari  kwa  kuwanasa wateja  wao.....


Wiki  chache zilizopita Xdjay  ililipoti  kuwa  kahaba  maarufu  toka  Tanga naye  amekwisha  wasili  eneo la  tukio......

Yanayotendeka  huko ni laana  tupu.... 
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!