Monday, January 21, 2013

"WEWE NI GUBEGUBE ULIYESHINDIKANA....WANAUME WAMEKUTUMIA MPAKA WAMECHOKA"...HAYA NI MATUSI YA RAYUU KWA SINTAHUgomvi kati  ya wasanii  wa  kibongo maarufu kama  sintah  na  Rayuu  umechukua  sura  mpya  baada ya  wasanii hao  kuanza  kuumbuana  kwa  maneno  machafu.....

Kisa  kilianza  mwaka jana  baada  ya  Rayuu kusambaza  picha  zake  za  nusu utupu, hali  iliyomkera  sintah  na  kuamua  kumponda.......

Rayuu hakuishia  hapo, mwaka  huu kakianika  tena  kiuno  chake huku nguo zake za  ndani zikiwa  njenje.....Sintah alifunguka  tena  na  kumuita "KUNGURU  ASIYEFUGIKA"....

Baada  ya  Rayuu kuitwa  "kunguru", yeye amemuita  mwenzie "Gubegube  lililoshindikana  tz"......

Haya  ndo  mabishano yao

HIKI NDICHO  ALICHO KIANDIKA  SINTA  MTANDAONI JUU YA RAYUU

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!