Wednesday, January 9, 2013

NIKKI MBISHI NA NIKKI WA PILI WAZINGUANA TENA....Tulidhani beef kati ya Weusi na Nikki Mbishi imeisha kumbe ndio kama inaanza upya tena! Kupitia mtandao wa Twitter leo, Nikki wa Pili na Nikki Mbishi ambao wote wanasifika kwa uandishi mkali wa mashairi ya Hip Hop wametupiana vijembe vya kizushi.


Alianza Nikki wa Pili aliyeandika:
Nikk 1
Nikki Mbishi alijibu:Nikk 2
Baada ya mlolongo mrefu wa vijembe kutoka kwa Mbishi hii ni miongini mwa tweet inayoonekana kuwaendea tena Weusi:

Mi nikimchana mtu namtaja jina ila wao wakimchana mtu wanazunguka vichakani kutwa nzima…hahahhaa…waoga bwana..am off the hook yow..
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!