Wednesday, January 23, 2013

PICHA YA ASKARI ALIYEPIGA PICHA NA WANACHAMA WA CCM MOROGORO YALETA UTATA
Ikiwa unafuatilia siasa za Tanzania, picha hii inalinganishwa na ile ya aliyejiita askari wa JWTZ kupiga picha na baadhi viongozi wa CHADEMA na hatima yake ikawa ni kifungo jela.

Maafande wa doria wanaotumia pikipiki wakizungumza na baadhi ya wanachma wa CCM wa kata ya Mji Mpya. Wanachama hao walivamia ofisi kuu ya kata na kuwatimua ofisini viongozi wao na baadae kufungua milango wakiwashutumu kwa mambo mbali mbali ikiwemo la ufisadi.


Picha na: dustanshekidele.blogspot.com
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!