Monday, January 21, 2013

RAIS KIKWETE AONGOZA KUWA NA "FOLLOWERS" WENGI TWITTER IKILINGANISHWA NA WANASIASA WENGINE WA TANZANIAKatika miaka miwili iliyopita tumeshuhudia mitandao ya kijamii hususan Facebook na Twitter ikitumiwa si tu kama mitandao ya kupotezea muda bali mitandao muhimu inayotumia na makampuni na wanasiasa kuelezea mambo yao.

Makampuni na mashirika mengi ya Tanzania kwa sasa yana akaunti kwenye mitandao hiyo ambapo yameajiri watu maalum kuiupdate. 


Wanasiasa nao wamekuwa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii huku mtandao wa Twitter ukionekana kupendwa zaidi.Hii ndio orodha ya wanasiasa wenye wafuasi wengi kwenye mtandao wa Twitter:
1. Rais Jakaya Kikwete

46,502 Followers
11 Following
1,300 Tweets


2. Zitto Kabwe
39,776 Followers
1,215 Following
12,410 Tweets


3. January Makamba
24,290 Followers
2,565 Following
6,908 Tweets


4. January Makamba
12,311 Followers
10,631 Following
1,900 Tweets


5. Halima Mdee
10,654 Followers
855 Following
2,126 Tweets


6. Shyrose Bhanji
8,980 Followers
290 Following
7,163 Tweets


7. Mohamed Dewji
7,225 Followers
44 Following
1,118 Tweets
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!