Sunday, January 20, 2013

SAKATA LA WANAUME WATATU WALIOVULIWA NGUO NA KUPEWA KICHAPO KIKALI KWA MADAI YA KULAWITIANAHawa  ni  wanaume  watatu ambao  walipewa  kichapo  kikali  ikiwa  ni pamoja nauvuliwa nguo  hadharani siku  ya tarehe 14  mwezi huu  kwa  madai kwamba huwa  wanalawiti  watu

 Tukio hilo limetkeakatika jimbo la  Imo linaloongozwa na  bwana  Rochas nakuzua  mvutano mkali  baina  yake  na mashirika ya  haki  za binadamu
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!