Wednesday, January 23, 2013

SHAKIRA AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME....Nyota wa Pop wa nchini Colombia, Shakira amejifungua mtoto wa kiume jana mjini Barcelona, Hispania.Shakira ametoa taarifa hizo kupitia website yake ambayo iliandikwa kwa Kiingereza, Spanish na Catalán:


“We are happy to announce the birth of Milan Piqué Mebarak, son of Shakira Mebarak and Gerard Piqué, born January 22nd at 9:36pm, in Barcelona, Spain.The name Milan (pronounced MEE-lahn), means dear, loving and gracious in Slavic; in Ancient Roman, eager and laborious; and in Sanskrit, unification.”

Baba wa mtoto huyo ni mchezaji wa FC Barcelona, Gerard Piqué.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!