Wednesday, January 2, 2013

TASWIRA KUTOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU SAJUKI, TABATA-BIMA JIJINI DAR

Mke wa marehemu, Juma Kilowoko 'Sajuki', Wastara Juma, akiwa na simanzi nzito kwa kumpoteza mumewe.
Baba mzazi  wa marehemu, Juma Kilowoko 'Sajuki' akiwasiliana na ndugu na jamaa msibani hapo.
Baba mzazi  wa marehemu Sajuki (wa kwanza kulia) akiwa na majonzi.
Dada wa marehemu Sajuki akilia kwa uchungu.

Bibi wa marehemu Sajuki akiwasili msibani leo.
----------------------------------------------------------------
 
Pichani juu ni baadhi ya taswira za waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki', Tabata- Bima jijini Dar es Salaam. Sajuki amefariki dunia leo alfajiri akiwa katika hospitali ya taifa Muhimbili ambapo alikuwa akitibiwa.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!