Monday, January 28, 2013

UGOMVI WA VIONGOZI WASABABISHA KANISA LA MOREVIAN TABATA LIFUNGWE


Katika hali isiyo ya kawaida jeshi la polisi mkoa wa Ilala jijini Dar es salaam limelazimika kupiga kambi katika eneo lililopo kanisa la Morovian Tanzania jimbo la mashariki usharika wa Tabata, kutokana na uwepo wa mgogoro wa uongozi wa kanisa hilo jambo lililowafanya waamini wa kanisa hilo kushindwa kufanya ibada kama ilivyo ada baada ya upande mmoja wa uongozi kufunga milango ya Kanisa hilo na kuondoka na funguo.

VIDEO  ...
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!