Saturday, January 12, 2013

UTATA KUHUSU MUONEKANO WA DARAJA LA MANZESE


Picha hii imekua ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii  wakidai kuwa huu ndiyo utakua muonekano wa daraja la Manzese. ....

Mdau wa tulonge amejaribu kufanya uchunguzi kugundua kuwa hii ni project ambayo ilipangwa kufanywa na wachina huko Thailand mwaka 2010.....

Mimi binafsi pia sijawahi sikia serikali ikisema kuwa huu ndiyo utakua muonekano wa daraja la Manzese na Morogoro road kwa ujumla.....

Kama kuna mdau anafahamu mengi kuhusu hili atujuze ili tusije tukawa tunadanganyana  na  kufarijiana.....

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!