Saturday, January 19, 2013

WEASEL AMTAKA CHAMELEONE AACHE UKATILI WAKE WA KIPAGANI....Mdogo wake Jose Chameleone, Weasel wa kundi la Good Lyfe amemdiss kaka yake huyo na kumtaka aache ukatili wake anaouita ni wa kipagan.


Chameleone yupo kwenye hatihati ya kukabiliwa na kesi ya mauaji baada ya ndugu za mtu aliyejichoma moto nyumbani kwake na kupoteza maisha kutaka uchunguzi zaidi wa tukio hilo ili kubaini kama msanii huyo na familia yake walihusika.
Kupitia ukurasa wao wa pamoja wa Radio and Weasel wa Facebook, Weasel aliandika:

People, advice war monger Dr Jose Chameleone to act his age, and low his pagan violent ways. When the media fails to address the truth to public figures, and instead hail and praise dem, they will never learn to respect the community that they live in. 

This skeleton is a big threat to peace. I support Mozey Radio’s campaign against Chameleone’s violence. For God and my fight for peace.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!