Wednesday, January 2, 2013

WEMA SEPETU AAMUA KUTOKA NA "MBWA WAKE"...


Ikiwa ndio siku Ya kwanza anastep out... Malkia wa Filamu amewaacha  hoi mashabiki  wake  baada ya kuamua kutoka na mbwa wake  VANNY ndani ya kikapu  katika  maeneo ya kinondoni....
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!