Friday, January 4, 2013

YULE MWANAJESHI ALIYEPIGA PICHA NA GODBLESS LEMA AKAMATWA NA KUTIWA NGUVUNIKushoto ni mwanajeshi huyo akiwa ndani ya gari ya jeshi baada ya kutiwa nguvuni, kulia ni picha alipopiga akiwa na Waheshimiwa wabunge, Lema na Nassari.

Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli ametiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police.

Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari, ila aliwahi kuwa JKT na akaacha. 


Amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa Mererani wanamtambua kama mwanajeshi.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!