Friday, February 1, 2013

WEMA SEPETU ACHUKUA FORM YA KUSHIRIKI BIG BROTHER AFRICATaarifa kutoka ofisi za DSTV jijini Dar es Salaam zinadai kuwa aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu alikuwa katika ofisi hizo kuchukua fomu za kushiriki shindano la Big Brother Africa mwaka huu.


Wema ni miongoni mwa mastaa nchini wanaopendekezwa zaidi kuiwakilisha Tanzania mwaka huu. Mwingine anayependekezwa zaidi ni Khaleed Mohamed aka TID
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!