Saturday, May 28, 2016

Aliyevunja Tamasha la T.I kwa Kusababisha Mauaji Akamatwa na PolisiBaada ya kuvunjika kwa tamasha la T.I, Mei 25 kwenye ukumbi wa Irving Plaza, New York baada mtu mmoja kufyatua risasi na kusababisha mauaji ya mtu mmoja [Ronald MC Phatter.] na kujeruhi watu watatu, polisi wamemkamata mtuhumiwa wa tukio hilo. 

Mtuhumiwa huyo ambaye ni rapper wa Marekani anayejulikana kama Troy Ave, anatuhumiwa kwa kufanya tukio hilo la mauaji na kujeruhi kutokana na kamera zilizopo kwenye ukumbi.
 


 
Kutokana na tukio hilo lililotokea rapper T.I amepost Instagram kwa kuandika: “My heart is heavy today. Our music is intended to save lives, like it has mine and many others. My heartfelt condolences to the family that suffered the loss & my prayers are with all those injured. Respectfully, Tip.”==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!