Wednesday, May 25, 2016

Basi Jingine Lagongwa Jijini Dar leo Kutokana na Mwendo Kasi.


 Basi la mwendokasi T 123 DGW lionekanavyo baada ya kupigwa pasi na Gari ndogo yenye namba za usajili  T543 CUQ , katika makutano ya Barabara ya Msimbazi na Morogoro, Jijini Dar es Salaam leo.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!