Sunday, May 22, 2016

Edwrd Lowassa Kuanza Mikutano Ya Kuimarisha Chama (CHADEMA) Nchi Nzima.

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu uliopita kwa tiketi ya chama hicho na kuungwa mkono na UKAWA, Edward Lowassa akisalimiana na viongozi wa walemavu wilayani Monduli kwenye Mkutano wa kwanza wa kuimarisha chama nchi nzima. ==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!