Wednesday, May 25, 2016

Hiki Ndicho Alichokisema Wema Sepetu Kama Anamchukia Diamond.


Sasa tangu mastaa wawili wakubwa hapa bongo, Wema na Diamond Platnumz watemane. Na kila mmoja kwa sasa kaendelea na maisha yake, kwa Diamond Platnumz akiwa na mtoto mmoja huku kwa upande wa Wema akiwa na Boyfriend wake mpya Idris.

Watu wengi wamekua na wamekua wakijiuliza je wanachukiana??? Sasa Wema Sepetu ameamua kuvunja ukimwa na kujibu kama anamchukia Diamond Platnumz au la! Msikie hapa Wema Sepetu akijibu swali hilo.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!