Wednesday, May 25, 2016

Hili Ndilo Jumba la Sultan Sultan linalogharimu Zaidi ya Milioni 200.


Wiki chache zilizopita kupitia kituo kimoja cha Tv huko nchini Kenya Idris Sultan alikiri kua kuna kipindi alifulia kabisa akawa anakosa hata hela ya matumizi. Watu wengi baada ya kuona vile walijiuliza maswali mengi je zile milioni 500 zake alipeleka wapi???

Nusu ya jibu la swali hilo limepatikana, ukweli ni kwamba Idris anamiliki nyumba ya ghorofa ya kifahari kabisa na kwa jinsi inavyoonekana bei yake haipungui chini ya milioni 200. Hii inatokana na inavyoonekana na eneo linalozunguka nyumba hiyo kama inavyoonekana katika video hii hapa chini.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!