Saturday, May 28, 2016

Maneno ya Wema Sepetu Kuhusu Tuzo ya BET Anayowania Diamond PlatnumzMwigizaji wa Tanzania ambaye ni mpenzi wa zamani wa mwimbaji Diamond Platnumz, Wema Sepetu ameonyesha wazi anaungana na mamilioni ya Watanzania wengine wanaomsupport mwimbaji huyo ambaye ni Mtanzania pekee anaewania tuzo ya kituo cha TV cha Marekani BET.

Wema Sepetu amepost kwenye page yake ya Instagram na kusahau yaliyopita na kusisitiza uzalendo kwanza  ‘Uzalendo ndio unaotakiwa, Tanzania kwanza vingine baadae ama nene? vote vote vote’
 


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!