Friday, May 20, 2016

VIDEO: Exclusive ya Mbunge Goodluck kasema na wanaoponda kauli yake ya sanamu ya Diamond

Baada ya headlines nyingi kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kauli ya Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga alipokuwa akichangia katika bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo May 13 2016 na kusema...

"Ingekuwa amri yangu tungechonga sanamu la Diamond tukaliweka kwenye mnara wa Askari, ule mnara tumeuchoka. Ametufikisha mbali na ameitangaza nchi yetu huko mbele"

AYO TV imemtafuta leo na kufanya naye Exclusive interview ambapo hapa anaelezea kwanini alitoa kauli ile na anachotaka watu wamuelewe…

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!