Thursday, May 26, 2016

Video: Lulu Michael Akubali Kua Anavaa Matambala ya Kuongeza Makalio


Siku za hivi karibuni kumetokea mabifu mengi sana ya wasanii wetu wa kike hapa Bongo. Mabifu makubwa ambayo yamemake headline sana ni ya ya Shilole na Vanessa Mdee na upande wa pili ni Lulu na video queen Giggy Money.

Giggy Money siku za karibuni amekua akitofautiana na wasanii wengi na kwa sasa kaamua kulinukisha na kuanzisha bifu na Lulu. Giggy amekua akijitamba kua anamzidi maisha mazuri Lulu hasa katika upande wa mavazi na kuvaa matambala ili aongeze tako.

Katika kauli moja Giggy alisikika akisema kua Lulu ni bingwa wa kuvaa nguo za matangazo. Baada ya Lulu kutuhumiwa hayo aliamua kufunguka kwa ufupi na kujibu tuhuma hizo.

Unaweza msikiliza kwa kutazama video yake hapa chini.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!