Monday, June 6, 2016

Diamond Aongeza Nyumba nyingine

Yeye anapenda kuviita vibanda,leo tena amekamilisha manunuzi ya nyumba nyingine maeneo ya kunduchi kupitia Dalali mwanamkee.....Naona Diamond kila akimsainisha msanii katika lebo yake laZima aongeze na nyumba
Je kuna haja ya kumchukia Diamond kama wengine wapo bize kubadili mademu yeye yupo bize na nyumba

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!