Thursday, June 23, 2016

Fella: Uhusiano wa Aslay na Ruby ulikuwa kiki tu


Said Fella amedai kuwa uhusiano wa siku moja na tena kwenye Instagram kati ya Aslay na Ruby ulikuwa kiki tu.Akiongea na 255 kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM, Fella alisema kuwa Aslay alitumia njia hiyo ili kupima mafuta kama kweli mashabiki wa Yamoto Band bado wapo ama wameshawachinjia baharini.

Sikiliza hapa chini...

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!