Thursday, June 23, 2016

Goodluck Mlinga(CCM) Atoa Mpya... Adai Anatropia(CHADEMA) Anamtamani Kimapenzi

Anasema kuwa wakati yupo Bungeni, mbunge wa CHADEMA Anatropia alimvua kofia aina ya kibagharashia na kutokomea kusikojulikana, na...

Kumfanya akose sifa ya kuingia bungeni, hivyo wananchi wa Ulanga kukosa mwakilishi kwa muda.
Kumsababishia mtikisiko wa Mawazo kwa kumnyang'anya kofia.

Kulikosea heshima vazi hilo (Utamaduni wa vazi hilo anayepaswa kumvua ni mkewe).
Kuingilia Himaya ya Mke wake (Mama Glory) kwasababu yeye siye mkewe.

Kuvunja Amri ya Tisa inayokataza kutamani mali ya mtu mwingine, hivyo Anatropia amemtamani kimapenzi.
Kuvunja Msimamo wa CHADEMA wa kutojongelea wabunge wa CCM.

Ameuliza hivyo vitendo vyote vinaruhusiwa kwenye Bunge Tukufu? 

 Tazama Video:
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!