Tuesday, June 21, 2016

Hemed adai hajawahi kuwa na mahusiano ya wasanii wa filamu lakini ‘amewachapa’ wengi


Mwigizaji huyo ni miongoni mwa wasanii wa filamu mwenye mvuto kutoka na kujiremba kwake pamoja uvaaji.

Akiongea nasi hivi karibuni, Hemed aliulizwa kuhusu kutoka kimapenzi na wasanii wa filamu.“Ngoja niseme hili sijawahi kuwa kwenye mahusiano na Mastaa, ila kuwachapa ni wengi sana” Alisema.

Katika hatua nyingine, Hemed alisema hapendi kufanya filamu ila pesa ndio inamfanya kuwa mwigizaji.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!