Tuesday, June 28, 2016

Kamanda Sirro: Bado Tunamtafuta Sana Askofu Gwajima, Tumetumia Polisi wa Kimataifa ila Bado, Wananchi Tusaidieni


Kamanda wa polisi jiji la Dar Simon Sirro amesema bado wanamtafuta sana askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima na wametumia mtandao wa polisi wa kimataifa Interpol lakini bado hawajapata majibu.

Amesema walipokea barua kutoka kwa wakii wake lakini wao hawafanyi kazi kwa taarifa hizo, amewataka waandishi wa habari na wananchi wasaidie kupatikana kwake..

 

Tazama Video:

 
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!