Wednesday, June 29, 2016

Lil Wayne adaiwa kumpiga ngumi baunsa kwenye party ya tuzo za BET

 Mtandao wa udaku wa TMZ umeripoti kuwa kuna baunsa anasema alipigwa ngumi na Lil Wayne wakati watu wake walipozuiliwa kuingia ndani.

Timu ya Wayne imekanusha taarifa hizo na imesema baunsa huyo alimshika vibaya Lil Wayne kwenye mkono wake na ndipo walipotofautiana.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!