Wednesday, June 29, 2016

Mahaba ya Harmozine kwa Wolper: Siku zinavyozidi kwenda nazidi kukuona mpya


Muimbaji huyo amewaziba mdomo mashabiki ambao wanabeza uwamuzi wake wa kutoka kimapenzi na mwanamke aliyemzidi umri.Harmonize alipost picha ya Wolper instagram na kuandika:
"Get well soon mami…. siku zinavyozidi kwenda nazidi kukuona mpya…..!!! hivi kina miaka ngapi hiki kitoto …..??? 13 au 14 mana nami kwa kusahau."
Kauli hiyo imeonyesha kuwatoa povu baadhi ya mashabiki wake katika mitandao ya kijamii.Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki hao:

Alwatan_de_don:Sikuzote MTU akikosea njia ndo anajifanya haoni eti umri wake miaka mngapi,,,, vijimambo hv
 

Neema3071:Heshima pesa shikamoo makelele age namba tu lkn ukimchek kama anamiaka20 hiv matuzo tu poleen wenye majungu
 

hendrickanthony2016:Kwan miaka its just a number hats Bibi kizee anaweza akampenda mtoto wa miaka mi5, mapenz hayajal umri its a Mata of loving each other,,, nakupenda bro @harmonize_tz & CcY Ake @wolperstylish
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!