Thursday, June 23, 2016

Mrembo Naj Kapatikana na Kaongea Kuhusu Ujauzito wa Baraka da Prince

June 22 2016 mwigizaji na msanii wa bongofleva Naj ali-trend na habari kuwa ana ujauzito wa mwimbaji wa bongofleva Baraka Da Prince sasa baada ya Naj kurudi bongo akitokea London June 21.

Kusema ukweli mimi naomba msubirie miezi tisa maana hivi vitu sio vizuri nianze kusema hadharani lakini kama ni mimba watu wataona itakapofika hiyo miezi tisa‘ Naj 

 Tazama Video

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!