Thursday, June 23, 2016

Mwasiti- Siwezi kumuimbia wimbo mwanaume, ‘never’

Akijibu swali la kama wimbo wake mpya ‘Unaniangalia’ amemuimbia mwanaume, Mwasiti alisema haitokuja kutokea.

“Sijamuimba mtu yeyote naomba niklie hiyo issue, hiyo ni sanaa,” amesema.

“Sitegemea kumuimba mtu yeyote katika career yangu labda nitamuimbia mwanangu na mama yangu. Siwezi nikamuimbia mwanaume kabisa nikakaa chini nadraft hivi, hapana,” aliongeza.

Miongoni mwa mashairi yaliyozua utata kwenye wimbo huo ni pamoja na: Wala hukunipenda mimi,We ulitamani wa mjini, Wamekupiga chini,Unanifuata mimi wa nini!?

Mwasiti aliwahi kuhusishwa kuwa na uhusiano na mtangazaji wa EATV, Sam Misago.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!