Saturday, June 25, 2016

Nuh Mziwanda Ajichora Tattoo ya jina la Mpenzi wake Mpya!


Nuh Mziwanda baada ya kumpata mpenzi mpya amejikuta amerudia alilofanya kwa Shilole la kujichora tattoo mkononi ya jina la mpenzi wake huyo mpya..

Nuh Amesema huyu wa sasa amekuja na gia kubwa sana kiasi anaamini anampenda kwa dhati, amempa sifa kuwa ni mwanamke anayependa marafiki zake sana tofauti alivyokuwa shilole.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!