Tuesday, June 21, 2016

Pam D aelezea ukaribu wake Nay wa Mitego


Pam D amefunguka kuhusiana na taarifa zilizokuwa zimeenea kwenye mitandao ya kijamii kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na Nay wa Mitego.,

Pam amesema:"Kwanza niwajulishe tu mashabiki wangu kuwa ukaribu wangu mimi na Nay wa Mitego ni washkaji na pia kuna kazi inakuja yangu na Nay ambayo nayo ndo ilikuwa inatuweka karibu. Hiyo kazi mpya inaitwa ‘Nipe Nono’ Producer Mr. T Touch na kazi inatoka wiki hii. Nadhani watu watakuwa hapo wameshapata jibu sasa la ukaribu wangu na Nay wa Mitego.”
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!