Friday, June 10, 2016

Picha za Muhammad Ali Alivyoagwa Kiislamu

 Muhammad Ali enzi za uhai wake. 
 

 Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa championi wa ngumi za kulipwa duniani, Muhammad Ali ukiwasili kwa ajili ya mazishi katika taratibu za Kiislamu huko, Louisville, Kentucky,Maelfu walihudhuria kuaga mwili wa Muhammad Ali, Louisville, Kentucky, U.S.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!