Monday, June 27, 2016

TID ajichora tattoo zenye majina ya hits za Ngwair


TID anaendelea kumuenzi rafiki yake kipenzi, marehemu Albert Mangwea kwa style ya aina yake.

Mnyama amejichora tattoo zenye majina ya hits za Ngwair.Baadhi ya nyimbo ambazo TID ameziandika ni pamoja na She Got A Gwan, Mikasi, Dakika Moja, CNN, Ghetto Langu, Fly Away na AKA Mimi.

Wawili hao walikuwa karibu kiasi cha kuanzisha kwa pamoja label ya Radar Entertainment.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!