Monday, June 27, 2016

VideoMPYA: Yamoto Band ft Ruby “Su” imeachiwa tayari, itazame hapa

Audio ya single hii ilitoka wiki kadhaa zilizopita ila leo june 27 2016 vijana wa Yamoto Band wameachia rasmi video yao mpya ya “Su” ambayo wamemshirikisha Ruby…. 

Ukishaitazama unaweza kuacha comment yako ili wakipita wajue mashabiki wao wanasema nini…
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!