Thursday, June 23, 2016

Video:Rapper Young Dee Akiri Kutumia Madawa ya Kulevya kwa Mwaka mmoja


Baada ya kuzozana na vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii, na kupinga kwa muda mrefu kuwa hatumii dawa za kulevya, hatimaye leo Rapper Young Dee amekiri kuwa amekuwa akitumia dawa za kulevya kwa mwaka mmoja sasa na amepata msaada kutoka katika vituo vya kutolea tiba ili kuweza kuachana na dawa hizo.

Aidha ameeleza kuwa kuwa vile hakuwa amefikia katika hatua mbaya, ilikuwa rahisi kwake kuacha dawa hizo.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!