Thursday, June 30, 2016

Wabunge wa UKAWA watoa mpya....sasa Watoka nje ya Bunge wakiwawamevaa Nguo Nyeusi na huku wameshika Mabango


Baada ya Naibu Spika Dk Tulia Ackson kuingia bungeni na kuongoza dua ya kuliombea Bunge,Wabunge hao walianza kunyanyua mabango mbalimbali na kutoka nje.

 Wabunge hao wameingia bungeni wakiwa wote wamevalia nguo nyeusi walipohudhuria kikao cha 54 cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!