Monday, June 27, 2016

Zuu (Jike Shupa) aelezea jinsi Shilole alivyogeuka adui


Zuu amejipatia umaarufu mkubwa baada ya kuonekana kwenye video ya Nuh Mziwanda, Jike Shupa. Kilichomfanya ajulikane zaidi ni jinsi alivyofanana na Shilole. Lakini kwa sasa amedai kuwa kuna vita vikubwa kati yake na Shishi. Mtazame hapa akielezea.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!