Wednesday, July 6, 2016

Aliyekuwa Mbunge wa zamani Mkoani Tanga, Beatrice Shelukindo (CCM),Kuzikwa kesho


Familia ya William H. Shelukindo inapenda kuwataarifu kuwa mazishi huko Arusha ya Mpendwa wao Beatrice Matumbo Shelukindo Mbunge wa zamani wa Kilindi sasa yatafanyika kesho siku ya Alhamisi tarehe 7/7/2016 na sio leo Jumatano tarehe 6/7/2016 kama ilivyotangazwa awali.
 
Mazishi yatafanyika kesho saa tisa alasiri pale pale eneo la  Oloirien jijini Arusha.

Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa.
Jina la Bwana Lihimidiwe.
AMEN
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!