Wednesday, July 6, 2016

Aliyekuwa mtangazaji ITV akiwa ofisini baada ya kuteuliwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni tayari ameanza kutekeleza majukumu yake.


Baada ya kuteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, aliyekuwa mtangazaji maarufu wa ITV Godwin Gondwe aliapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga na mara moja ameanza kutekeleza majukumu yake.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!