Saturday, July 9, 2016

Baraka Da Prince Akanusha Uzushi ulioenea kuhusu Mpenzi wake Naj


Chanzo chetu kimekutana na Staa kutoka Bongofleva Baraka Da Prince ambaye ni mpenzi wa mrembo Naj, na kuelezea baadhi ya Headlines ambazo zinasamba kwenye social network kuhusiana na mpenzi wake kuwa mjamzito,

"Kuhusiana na taarifa za Naj kuwa mjamzito kusema ukweli mimi siwezi nikaliongelea hilo yaani bado mapema sana alafu kuhusiana na ndoa kinaweza kikafanyika kitu kwasababu mimi na Naj tunaishi pamoja alafu mimi namchukulia Naj kama mke wangu kwa sasa", Baraka Da Prince

Angalia hapa chini  
 
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!