Sunday, July 17, 2016

Diamond asherehekea Kidogo kufikisha views milioni 1 ndani ya siku 4


Diamond Platnumz anasherehekea mafanikio ya video ya wimbo wake mpya, Kidogo. Ndani ya siku nne, video ya wimbo huo aliowashirikisha P-Square imefikisha views zaidi ya milioni moja kwenye mtandao wa Youtube. Staa huyo hakusita kusherehekea hatua hiyo na mashabiki wake:
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!